Mdogo mtu naye anataka pia...

Mdogo mtu naye anataka pia...

Kwel mkuu itabidi nfanye hivo
Ni lazima utoke na mdogo mtu pia?
Kuna haja ya kuwa na kiasi, pia kujua ubaya wa kulala na ndugu wa tumbo moja. Kwa ubinafsi, unaweza usijali nini kitakachowatokea hawa akina dada watakapojua ulichowafanyia.
Nina imani utaonesha umepevuka kwa kutokumkubalia binti mdogo ombi lake, kumpigia simu tu ilikuwa ni kosa la kwanza.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wangu ni kwamba
Mwezi Wa 10 Mwaka huu ni uchaguzi na kwa umri wako ndio kwanza hujawai hata kupiga kura so onyo usijaribu kuichagua ccm maana Leo mutuz na tumbo lake lote bado huko ccm
 
Hilo la kuhamia kwenye room yako ni moja. La pili hata siku moja usije ukaingiza ndani kwako wanawake wawili tofauti tena ndugu wanaojuana. Watakuwa team moja kama ndugu na wewe utageuka adui kwao. Watakuchuna ngozi ukiwa hai dogo.
Fact kiongoz,,nashukuru sanaa
 
Back
Top Bottom