Mdogo mtu naye anataka pia...

Hakikisha uko na hela cash standby ya kuhama mtaa na kwenda kupanga pengine, Maana hapo si kwa kaka yako? Ila nae utakuwa unamuingiza tabuni bila sababu.
Ndio nampango huo mkuu,, MUNGU akijaalia naama ndan ya mwezi
 
Wether ni chai ama chapati, HUO NI MTEGO kimbia usigeuke nyuma. Na ukifika home nawa kwa barakoa na usisahau kuvaa sanitizer.
 
Kwel mkuu itabidi nfanye hivo

Hilo la kuhamia kwenye room yako ni moja. La pili hata siku moja usije ukaingiza ndani kwako wanawake wawili tofauti tena ndugu wanaojuana. Watakuwa team moja kama ndugu na wewe utageuka adui kwao. Watakuchuna ngozi ukiwa hai dogo.
 
Kuna vitu vingine ukikataa unapata dhambi! 😂
Lakini mkuu jitaidi kwenye masomo hayo mambo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…