Mdogo mtu naye anataka pia...

Mdogo mtu naye anataka pia...

Abushiry

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
91
Reaction score
75
Wakuu inakuaje,pole na mihangaiko ya hapa na pale,,japo covid 19 kafifia kwa mbaal,,bado tuchkue tahadhari.

Nirudi kwenye mada,,agizo la muheshimiwa raisi la kurudi chuoni nililitekeleza ipasavyo baada ya kuanza Safar kutoka mkoan kuja hapa dar es salaam kusoma.

Nilifka salama siku ya jumamosi iliyopita hapa dar na nikaanz Safar ya kuja mtaa fulani hapa maana nilishakua mwenyeji basi sikua na haja ya mtu wa kunipokea..

Basi bhna nafika mtaani,,bro kanipokea vizur maana naishi na bro huku,,so nikafika tukalonga stori ka zote basi mishe zikaendelea

Nakumbuka siku ya j4 natoka chuo nikapitia dukan nichukue vocha maana niliishiwa bando la sms,,basi Kuna duka pale mtaani nikaenda kuchukua vocha,,dahh nafika dukani aisee nlimchek mtoto pini kweel katulia ndani mule anasomasoma gazeti pipi ipo mdomon...basi mzee nikampa hi,tukalonga kidogo kanigeu vocha angu nkasepa,,sukutaka kujionesha nashoboka kiivo..ila moyoni nkasema huyu jion namrudia aiseee

Jioni ileilee nkarudi pale kwa kigezo Cha kununua soksi,,basi Ile nafika pale nakuta wateja kibaooo,,nkasubirr pale mpaka wateja wakaisha ndo nkaingia mm,,nkachkua soks then nkaanza kumpgsha mastor ya hapa na pale nae anarespond saaf kabisaa,,bas mzee nkajiongeza nkamwomba namba palepale nae kaachia,,kilichonfurahisha zaidi nae kaomba yangu ili nkimtafuta asisumbuke masuala ya nani mwenzangu...

Basi usku huohuo mzee nkamtafuta mida ya saa nne hivi,,tukachaaat Sana an,nkaanza mleta kwenye stor za watu wazima japo mwanzo alijitia mgumu kua hataki stori hizo ila baadae nae kachangia mada,,basi mzee sikulemba siku hiyohyo usiku huohuo nkasema ngoja nijaribu kurusha kamba,,akikataa ntasema nilikua natania ahahahah....bas bwana nkarusha nyavu baharini,,samaki wakajizungushaa weeee,,sikukata tamaa Mara samaki hao nyavun kimasihara tuu

Basi baada ya hapo siku mbili zikapita nikampanga nahitaji kumfahamu kiundani zaidi,mtoto akaelewa namaanisha nini,,basi Jana ijumaa bro akaondoka asbuhi kwenda huko kwenye mambo yake na anarudi leo jumamosi jion,,bas hyo Jana mtoto nkampanga akasema atakuja asubui,,na kweli saa nne asubui huyo mlangoni,,basi nkamkaribisha kwa romantic kubwa sana,,vijuis Kama vyotee afu nkatafuna papuchi vizur tuu,,saa saba mtoto kaaga kaondoka,,usiku saa mbili npo zangu nacheza game naona text"babe nakuja saiv" nkareply njoo,,basi kaja na usku ule nkamgegeda tena japo so saana maana mda ulienda,,akaondoka

Leo asubuh nkaenda zangu dukani nimsabahi dem wangu,,ila sikumkuta,nkamkuta dem mwingne mdogo hivi miaka Kama 18,,basi nkachukua kitafuno nataka kuondoka kaniita,,kaanza kuhoji hoji Mara nakuonag mtaani ila sikufaham basi nkajitambulisha pale,,nae kajitambulisha,,mwisho was siku kaniachia namba nimtafte nksema poa...mzee nikatembea fasta maana nilikua na bonga la njaa kwa shuuli ile ya Jana double so poa..

Basi wadau ile nafika home nkamcheki saa tano hivi huyu dem,,nkajitambulisha kwa text kanifaham,,bas tumecha sanaa,,bdae katuma text kua Kuna kitu nataka kukwambia,,nkajibu sema,ghafla kapga simu,,nkapokea tumeongea Kama dakika kumi hivi,,baadae mtoto kaanza kunipanga asee hata sikuamini,,nanukuu ninayokumbuka,,"oh,,hua nakuona kila siku unapita hapa nyumban ila nashindwa kukwambia maana nadhan unakua umechoka na mihangaiko halaf kingne namwogopa dada asije on akanisemea nyumban,,ila mwenzako nakupenda sana,,niamini nakuhitaji maishani mwangu"bs muhun sikujibu nkamwambia ntakupgia usku,,nkajua kumbe huyu mdogo ake fulan,,ile kukata nkakuta micd call 4 za dada mtu,,daahhh...nmebaki nacheka tuuu an,,ukiangalia wote wakali mapini ya kwenda,,dada mtu miaka 23 mdogo mtu 18,,m mwenyw 20,,,

Wakuu,,,mnanishaulije hapoo aseee.....

NAWASILISHA.....
 
Hakikisha uko na hela cash standby ya kuhama mtaa na kwenda kupanga pengine, Maana hapo si kwa kaka yako? Ila nae utakuwa unamuingiza tabuni bila sababu.
 
Hakikisha uko na hela cash standby ya kuhama mtaa na kwenda kupanga pengine, Maana hapo si kwa kaka yako? Ila nae utakuwa unamuingiza tabuni bila sababu.
Soma kwa makini anaishi kwa brother huyu
 
Mwanzo tu ulipoanza kusalimia “inakuaje” nikajua utakuwa ni kati ya umri fulani na fulan.mwandiko wako unaonyesha
 
Vitu vingine sio vya kuwabania watu wakitaka wape! Rungu ni sawa na mwiko wa mamalishe ukimaliza kupikia ubwabwa unapikia ndizi

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Back
Top Bottom