Mdhamini wa harambee ya CHADEMA usiogope

Njia za kuchangia zitajulikana tu, kama mtu akitoa cheque itajulikana, kama ukitoa kwa njia za mtandao itajulika na hata njia ya TISS itajulikana. CCM wana mkono mrefu na wana organs nyingi zakutambua mambo.


Kwenye red! hiyo ndiyo njia gani ya uchangiaji mkuu mbona mimi siielewi?
 
hongera kwa hilo,ni hotel gani hiyo?

Naura Spring Hotels. Pale Arusha karibuni sana, mchango sio lazima pesa, hata mawazo au kufika kwako kunaonyesha mapenzi uliyonayo kwa Chama chetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema!
 
Mwenye Naura Spring Hotel amefanya kosa kubwa sana ambalo atakuja kulijutia katika maisha yake yote. Na tukumbuke huyu mwenye hii hotel anamiliki pia hotel ya Impala na Ngurdoto. Sijui km biashara zake zitaachwa salama na TRA

Kwa hiyo wanaccm mnakiri kuwa mnaonea upinzani pamoja na wote wanaounga upinzani kwa kutumia serikali yenu. halafu hapo utasimama kujigamba kuwa Tanzania kuna demokrasia?
 

Usitie hofu kamanda, sisi ni wamachinga na wafuasi wetu wengi ni wamachinga, mimi nina uhakika viongozi wetu wanafanya kazi nzuri sana, ndo maana tumefikia hapa tulipo tuendelee kuwaunga mkono; tutaonana baadae hapo Naura Spring!
 
Wanachadema tujitokeze na kwa wale watakao shindwa kufika pale Naura tafadhali yuma mchango wango kwenye namba zifutazo....


Angalia wizi wa wazi wazi huu sasa, hivi kweli kuna kiu kinaitwa Airtel PESA? Halafu hizo namba za simu siyo za MBOWE na SLAA? pesa ikishaingia huko nani atakuwa na mamlaka ya kuidai?
 
Serikali ya Chama tawala inajulikana haiwezi kuvumilia kuona upinzani unapewa support ya aina yeyote.. Wana uwezo wa kutumia state organs kuwasumbua wale wote wanaonekana kama wanatoa support kwa upinzani.. Katika hali hiyo Wafanyabiashara wengi hawako tayari kuhatarisha biashara zao kwa kujiweka wazi mapenzi yao kwa upinzani.. Wakati mwingine hata akitokea mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali akisimama katika haki anatimuliwa.. Mfano mzuri Tido Mhando..
 

Topic: Haya si matumizi ya mali za serikali kwa manufaa ya chama?


Acha unafiki, wewe ni gamba. umeanzisha nyuzi mbili zinazo kuumbua. poor thinking ndo inawaponza gambaz.
 
...na wewe "thatha" leo umekuwa mwana Chadema?...hapana ngoja nirudie kupia hili bandiko lako labda sijakusoma vizuri!?...
 
Woga wa uchangiaji unakuja kwasababu wafanyabiashara wengi wanamizunguukuti mingi,unatakiwa uwe unalipa kodi yako stahili na kuwa transparency katika kila transaction yako na proper business records,ukiwa hivyo hakuna TRA atakayekuonea hapo,kwanza hao TRA wenyewe wamechoka na Magamba
 
Mwenye Naura Spring Hotel amefanya kosa kubwa sana ambalo atakuja kulijutia katika maisha yake yote. Na tukumbuke huyu mwenye hii hotel anamiliki pia hotel ya Impala na Ngurdoto. Sijui km biashara zake zitaachwa salama na TRA

Impala na Ngurudoto Lowassa ana hisa zake kule
 
Myopic.
 
mbona chadema mnaogopa tabia ya kuogopa ni ya wahalifu.mwenye busara yeyote hawezi kuchangia vurugu kwa hata yeye hatakuja kuishi kwa amani.

chadema hawaogopi na ndio maana matukio ya polisi kuwazuia chadema kwenye harakati ni mengi hapa wanaoogopa chadema ni magamba na wanajaribu kuwazuia kwa kutumia nguvu za dola lakini siku zote haki inashinda mabavu na fitna
 
Ni kweli mkuu! huyo jamaa ni mbunge wa CCM....sema mie huwa namstahi tu kutokana na sheria za name calling
Kama kwenye red ni kweli, basi sitashangaa nisomapo mabandiko yake humu. Acha wapige usingizi mjengoni maana kama hoja zao ni za kiwango hiki basi watakuwa wanapoteza muda wa Bunge. Heri walale na wenye hoja za msingi waongee.
 

Pamoja sana chadema, mimi nitachangia naomba maelekezo pa kupeleka pesa
 
Nlikua nasikiliza radio nkapata taarifa kuwa chama fulan kikubwa USA walikua na fund rising kama hii ya CHADEMA but hapa tz inaonekana chama kinatangaza njaa hizi ni propaganda za CCM,
 
makamanda mliopo Arusha ... tunaomba update na coverage ya fundraising hapo Naura Springs Hotel .... please
 




huu sasa ni umbea, kama mtu hataki kutajwa coz hataki usumbufu kwenye biashara zake ww wamtajia nn? lazma utambue sikila anae kiunga mkono chadema ni mwanasiasa kunawatu wanakipenda nakutamani chadema ichukue dola ila si wanasiasa nahawapendi kujitokeza ili wasisumbuliwe na magamba hivyo kuwa makini na post zako :hand:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…