Mdhamini anahitajika kudhamini Gospel songs project.

Mdhamini anahitajika kudhamini Gospel songs project.

thandiwe

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
163
Reaction score
164
Habari ndugu zangu..
Kiukweli toka nipo hapa jijini mbeya nimegundua kuna chimbuko kubwa la vipaji katika muziki huu wa Gospel,hasa tukiona mifano kama BAHATI BUKUKU,MARTHA MWAIPAJA,AMBWENE MWASONGWE,BONY MWAITEGE na wengine wengi sana.

Kiukweli hapa mbeya kuna kijana nilikutana nae katika kabisa Fulani,kiukweli huyu kijana ni biashara sana,na ananyimbo nzuri sana za kisasa,ila amekosa tu mtu wa kumdhamini akashoot video nzuri ili aweze kusogea na kushika soko.ila I swear hii ni biashara
Kama mtu yupo interested kusimamia project hizi naweza waunganisha nae mkaongea kwa uzuri zaidi ili kuitangaza zaidi injili.
 
Mkuu jaribu kuchek na wamiliki wa studio za video shooting wanaweza kubali kama kweli wataridhika na kipaji na kazi mchek ANKO wangu anitwa Fred k
 
Back
Top Bottom