Wahuni kina HalimaKauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?
Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.
View attachment 2221223
COVID 19 aibu yaoKauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?
Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.
View attachment 2221223
Nawapongeza sn CHADEMA kwa hiliTuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?[emoji1545][emoji1534]
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?
Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.
View attachment 2221223
Ndugu Mayala kwenye hili la CDM hakuna Kangaroo court bali vikao halali katika katiba yao. Sijui hii kauli ya Kangaroo court unaitoa wapi kada wetu.
Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?
Chadema kwa hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.
View attachment 2221223
Ndugai ewaacja kwenye mataa ,labda Ndugai ,Kaijage na Mahara wanaweza kuwasaidia Kama watakuja mahakani .Wahuni kina Halima
Aliyegushi nani?Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?[emoji1545][emoji1534]
Wajinga hawa walihonga wajumbe ndio maana waliomba kura zipigwe wazi kumbe wajumbe sio wa ccm hawaTuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?[emoji1545][emoji1534]
Wewe iwe kangaroo au mbuni Court inakuuma Nini? Deal na ccm yako.