Mdee,Waitara wapandishwa kizimbani

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,278
25,846
Wabunge wa CHADEMA wa majimbo ya Kawe na Ukonga,Halima Mdee na Mwita Mwikwabe Waitara wamepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la kudhuru mwili.

Walisomewa mashtaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Wanadaiwa kumdhuru mwili Mkurugenzi wa jiji la Dar. Wabunge hao wameachiwa kwa dhamana na upelelezi wa kesi yao haujakamilika.

Jopo la utetezi wa Wabunge hao linaongozwa na Wakili Msomi Peter Kibatala.
 
Back
Top Bottom