Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Nimesikitishwa sana na mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa kutoa kauli ya dharau namna hiyo eti kuna vijana elfu moja wanaovamia maeneo ya watu madale na kujitwalia kutoka kwa wamiliki halali wa mashamba yao ili hali twajua kabisa ni mpango mzima wa mwenye nguvu mpishe.
Mh Halima Mdee baada ya sikukuu ya IDDI tunakuomba uje jimboni kwako utueleze wanataka kutupoka eneo letu wapi nasisi tufanyaje kama wakuu wengine wanahatarisha haki yetu???
na nyie mmezidi..si mrudi kijijini mapori kibao tu aaagh
Asante tutarudi tatizo wamepewa ardhi yote wawekezaji wanalipa 220 kwa mwaka kodina nyie mmezidi..si mrudi kijijini mapori kibao tu aaagh
Sasa ndio utaona kwanini chura humnyima tembo kunywa maji hakuna fisadi atakaye shinda heka kumi wewe si fisadi *****Mbunge hayupo kwa ajili ya kutetea uovu,,mimi nimejitutumua kutafuta vipesa af ninunue eka kama 10 then nikiwa najipanga nakuta eti watu wamekaa na familia zao bila aibu.kuweni wastaarabu kama una hati miliki ya hiyo sehemu kaa kama hauna nyie ni wavamizi,matapeli mnaochelewesha maendeleo ya nchi sababu yawekuwa hayo maeneo yangekuwa yameendelezwa kwa makazi ya bei rahisi wananchi wakaishi nyie muombe msamaha tu na muombe mpewe muda mfungashe msisubiri kuaibishwa:
halima tulikuita kabla ya leo lakini umetutelekeza
Angalia damu inamwagika na wewe uliapa kuilinda, ndio ukaribu huu unaouhubiri??