Mdee tetea haki ya wanyonge usiogope! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdee tetea haki ya wanyonge usiogope!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ruhazwe JR, Feb 8, 2011.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni mwanamke jasiri ambaye kwa sasa anaonekana machoni kwangu kuwa mbunge mwanamke mwenye uchungu na unyonji ambao ni dhaili unaonekana machon pa mpenda haki.kama huna uchungu na sisi wanyonywaji wanyonge huwezi kunana unyonyaji huu.mdee ameonesha uchungu pale alipokua akirumbana kwa hoja na spika makinda,hakiki mtetezi wa haki anakua anaonekana kama mdee alivyokua akionekana leo,si yeye tu wapo akin lisu,mbowe na nk.kimsingi mtetezi wa haki,mkweli na mpenda maendeleo ya nchi anapokua anaonge huonekana mwenye uhakika na anachoongea,huonekana ujasiri nk.BIG UP MDEE!
   
 2. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nampenda sana huyu dada mungu ampe nguvu na afya njema ili aendelee kutetea wanyonge. Ana jiamini sana hata mimi nimependa sana
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :coffee:
   
 4. kamonga

  kamonga Senior Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nina mpenda sana dada huyu Halima Mdee. Mungu aendelee kumpa busara na hekima na afya tele. RESPECT!!!
   
 5. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Tunakukubali Mdee!
   
Loading...