Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Sema ndio vile sina sauti nzito ila ningeshamtongoza mdee,kuwa na mke type yake raha tuu
 
Kwahiyo hapa Mbwa Mkuu hasa ni nani huko CHADEMA na hao akina Mbwa wengine anaowafuga nao ni akina nani pia?
 
Kumbe ku-forge nyaraka siku hizi ni ushujaa? Ni ushujaa wa aina take, una-forge nyaraka, unaingia bungeni, then unaitwa shujaa!
 
Mwanamke mwenye miaka 40+ ni binti?
 
Niko na wee mkuu mdee kanyagaa twendee vitoto vya juz tu ..maisha Ni Vita pambana mdee Hadi mwisho
 
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika

Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Sophia Simba ni mwanaume yule?
 
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika

Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?

Ukweli kwamba CDM walikuwa na uwezo wa kumtoa mtu mahabusu usiku na kwenda kuapishwa kuwa mbunge. Sijui watanzania mnawaonaje hivi CDM wanao uwezo huo katika mahabusu zetu mbona wasiwatoe hao wafungwa wao wa kisiasa
 
Lipumba hajaitwa kuzungumza na raisi?
Mbowe kuitwa haina maana ana akili, raisi ni wa watu wote hadi wendawazimu Kama nyie
Hana akili ila madai yake ya katiba mmeyakubali? Toka lini proposal za kichaa zisikilizwe??

Ni hivi pamoja na kelele zenu humu mitandaoni na matusi kuwa Mbowe Gaidi cjui katiba sio muhimu, hamuoni nyie ndio vichaa maana mmepuuzwa na Mwenyekiti wenu.
 
Mdee kafundishwa siasa na mbowe? Mdee ni UDSM graduate, mbowe form sjx leaver. Ushaelewa nachomaanisha
Nyinyi ndio mnaowadharau wazazi wenu kwa sababu mmesoma kuliko wao. Na ndio mnaowadharau walimu wenu wa praimari kwa sababu mna vidigriii.

Amandla...
 
Madai ya Katiba ni ya mbowe au wananchi?
Hii katiba tuliyonayo sasa ilidaiwa na mbowe?

Mbowe ni gaidi na alikutwa na kesi ya kujibu. Mama yetu kamuonea huruma tu lakini haimaanishi mbowe sio gaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…