Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,194
Reaction score
33,566
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.

Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.

Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.

Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.

Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?

Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.

Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo

#kazi inaendelea#

20220624_165757.jpg
 
Kwani katishwa na nani? Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa KATIBA ya nchi, Mdee & Co wanapambana na CHADEMA katika eneo la kisheria kuhusu uhalali wao pale Bungeni.

Mahakama imetoa uamuzi wa kutupilia mbali pingamizi lao siyo CHADEMA mjusi wewe.

'Mungu katuamulia ugomvi'.
 
Sasa hapo ndio atajua mjusi na mbwa nani zaidi😂😂
 
Kwani katishwa na nani? Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa KATIBA ya nchi, Mdee & Co wanapambana na CHADEMA katika eneo la kisheria kuhusu uhalali wao pale Bungeni.

Mahakama imetoa uamuzi wa kutupilia mbali pingamizi lao siyo CHADEMA mjusi wewe.

'Mungu katuamulia ugomvi'.
Tulia wewe hatutishwi na mbwa tunaowafuga
 
Unaandika takataka tu hapa, akina Halima hawana lolote ni mamluki tu waliokwisha fika bei kwa ccm.

Wachukueni basi kama leo wamekuwa wa maana baada ya kuwa wasaliti Chadema kwa sababu mtu wa Chadema awi shujaa mbele ya macho ya ccm mpaka afanye usaliti kwa chama chake. Very useless comment.
 
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.

Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.

Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.

Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.

Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?

Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.

Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo

#kazi inaendelea#

View attachment 2270753
Wa kupimwa akili wewe..!!
 
Sifurahii kufuahushwa kwao chamani, ila sikufarahiahwa kwa kitendo chao cha kufordge nyaraka ili kuupata ubunge.

Hili jambo la hovyo ni lazima kukemewa sana, tunatengeza kizazi cha watu wa hovyo sana kwa maslahi ya watu wachache.

Nachokiona hapa ninkuwa hawa wanatumika.

Ongopa sana mtu anayetumika, ila najua hakuna marefu yasio na ncha
 
Unaandika takataka tu hapa, akina Halima hawana lolote ni mamluki tu waliokwisha fika bei kwa ccm.

Wachukueni basi kama leo wamekuwa wa maana baada ya kuwa wasaliti Chadema kwa sababu mtu wa Chadema awi shujaa mbele ya macho ya ccm mpaka afanye usaliti kwa chama chake. Very useless comment.
Mdee utamfananisha na nani huko chadema?
 
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.

Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.

Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.

Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.

Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?

Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.

Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo

#kazi inaendelea#

View attachment 2270753
Mzee kingunge alijeruhiwa na mbwa aliokua anawafuga mwenyewe mpaka mauti ikamfika. It is just a matter of time.
 
Back
Top Bottom