Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'


Fafanua Mkuu!
 

Tafadhali ondoa hayo maneno!
 
Well done Mdee, hao jamaa ni kimeo hata ukijaribu ku-google unapata ufisadi wao, pamoja na kukuwa kwa kasi TEKHOMA hivi rais wetu ataendelea kudanganywa mpaka lini?

Mpaka hapo atakapoelimika mara baada ya 2015 atakapokuwa analima mihogo kwao Msoga!!
 
. Smile, hivi choo cha kike huwa kinakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike

Hakuna aliyedharau hoja yake akiwamo mimi kwani kusema "choo cha kike" ametumia maneno ya busara kuliko Come on F**k you!! na Siongei na mbwa bali mwenye mbwa au unataka wakulima wa sakalilo kule sumbawanga waje Dar kuuza "CHUPI NA SIDIRIA?-kESSY'.

Alichoongea Mdee ameongeza msisitizo na kisifa kwa alichokuwa anaongea. Nakufagilia Mdee!!!
 
huyu Rais mwenyewe anapenda vyoo vya Kike... bana ..
 
hivi choo cha kike kipoje? maana huku mtaani mambo hayo hatunayo. vyoo tulivyonavyo tunatumia kwa kushare wanaume na wanawake
 



Great thinker!!!!!? Yaani wewe ndio umemwagia maji uharo
 
Ila nikikumbuka lile jamaa ambalo walidai ndo limiliki la dowans! Dah! Hapo naamini huyu jamaa hicho choo cha kike anaishi humo humo.
 

mkuu, kwani choo cha kike kipoje? maana huku mtaani hatuna choo cha kike wala cha kiume. huku tuna share tu
 
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Ni nzuri ukilinganisha na ile ya Serukamba!!!! Ila lugha ya choo cha kike ni ya kifasihi na inaeleweka!! Unatumia lugha ya imaginary picture kuonesha mtu amekosea!! Mfano imagination ya mwanaume anaingia choo cha kike na mwanamke anaingia cho cha kiume.
 
Kweli, Kutuletea GM seeds ni UTAAHIRA. JAMANI. GENETICALLY MODIFIED ANYTHING NI HATARI KWA UHAI WETU. Hasa Modified Genetically foods. Au mnataka Tuanze kuzaa MAZOMBIES jamani. Khaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kutokana na maelezo ya Mdee ni kwamba unapoamua kutumia mbegu za Monsanto unakuwa umeingia kwenye kilimo cha mkataba(Contract farming) naomba kuwasilisha mkuu.

Nashukuru Mkuu,
Kwa hiyo na hayo mazao unayozalisha wewe ni sharti wanunue wao tu?
 
Mi nadhani wenye kudhurika ni sisi wananchi. Kwa sababu hiyo tusambaze ujumbe kwa wananchi wote hasa vijijini ikibidi tufanye maandamano kama yakusini kuwapinga nakuwataka waondoke nchini. Serikali haiwezi kutusaidia kama hatuko tayari kujisaidia wenyewe. Yes we can!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…