Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 279
Ulitaka waende wapi? Kule kwenye chuo cha ndiyo ooooh?Chadema kila siku mahakamani!! Mahakamaniiii!!! Ila sijawahi ona wameenda. Na hapa ndo utajua wote wapayukaji tu.
Haka kakundi katuachie chama chetu.
Ndiyo haya yanapitisha sheria za kipumbabu kesho yanaanza kushangilia, shame on themKwa kuwa ni mwanasheria labda ameona upenyo wa ki sheria wa kumweka Ndugai sawa sawa. Ninachukia sana tabia ya wabunge wa CCM kuona kana kwamba wanaingiliwa ktk shughuli za bunge na wenzao wa upinzani
Hawaendi kushitaki ila wanaenda kuomba tafsiri ya vifungu vilivyo mfanya Ndugai awafungia, lakin naona aibu kukuelekeza mtu mzima hiv cha kufanya kama shule ulikimbia rudi tu rafiki yangu yaani hujui hii mihimili mtatu inafanyaje kazi.Wanamdanganya nani na mahakama wakati bunge ni muhimili wa kipekee kma ilivyo mahakama.
Ulitaka waende wapi? Kule kwenye chuo cha ndiyo ooooh?
Huyu pinaple face wamesha mfiksi kwa juidai anjua jua.Akiwa anaongea na waandishi wa habari, mbunge wa jimbo la KAWE, Halima Mdee amesema kwamba lazima atamfikisha spika wa bunge la Tabzania, Job Ndungai mahakamani
Asema sheria zilizotumika katika kuwaondoa sio sahihi na pia akazungumzia kuhusu swala la bajeti linaloendelea bungeni kwamba ni porojo.
Pia anasema walikuwa na dhumuni zuri la kupinga mbunge wa jimbo la UBUNGO, John Mnyika kutolewa kwa nguvu ndani ya bunge.
Amesema pia walinzi wa bunge kutolewa na kuwekwa wengine ni kinyume.
sababu hatumiiSijui kwa nini Makonda hakumtaja kwenye orodha huyu mama.