Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
Akiwa anaongea na waandishi wa habari, mbunge wa jimbo la KAWE, Halima Mdee amesema kwamba lazima atamfikisha spika wa bunge la Tanzania, Job Ndungai mahakamani
Asema sheria zilizotumika katika kuwaondoa sio sahihi na pia akazungumzia kuhusu swala la bajeti linaloendelea bungeni kwamba ni porojo.

Pia anasema walikuwa na dhumuni zuri la kupinga mbunge wa jimbo la UBUNGO, John Mnyika kutolewa kwa nguvu ndani ya bunge.
Amesema pia walinzi wa bunge kutolewa na kuwekwa wengine ni kinyume.