Mdee aapa kumpeleka Spika Ndugai Mahakamani, asema bajeti ni porojo tu

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
278

Akiwa anaongea na waandishi wa habari, mbunge wa jimbo la KAWE, Halima Mdee amesema kwamba lazima atamfikisha spika wa bunge la Tanzania, Job Ndungai mahakamani

Asema sheria zilizotumika katika kuwaondoa sio sahihi na pia akazungumzia kuhusu swala la bajeti linaloendelea bungeni kwamba ni porojo.

47a8b839f4a9e4543fd65b050ebbd48a.jpg


Pia anasema walikuwa na dhumuni zuri la kupinga mbunge wa jimbo la UBUNGO, John Mnyika kutolewa kwa nguvu ndani ya bunge.

Amesema pia walinzi wa bunge kutolewa na kuwekwa wengine ni kinyume.
 
Spika anatumia wingi wabunge Ccm kuwa punguza makali wabunge wa upinzani kwa namna Moja au nyingine bunge litashindwa kupata mawazo tofauti kutoka kwa upinzani
 
Hivi huyu naye anajielewa kweli ushindwe kumpeleka mbowe kwa kula pesa za chama na mademu zake umpeleke ndugai kwa utovu wako wa nidhamu bungeni thubutu kama hautokalia kaa la moto kama ni bange zinakudanganya zitakupeleka pabaya
 
Taarifa ya kipuuzi, eti Mnyika Mbunge wa UBUNGO na Kubenea ni wa wapi? sasa aropoke huko nje ha Bunge atajuta
 
Wanamdanganya nani na mahakama wakati bunge ni muhimili wa kipekee kma ilivyo mahakama.
Hawaendi kushitaki ila wanaenda kuomba tafsiri ya vifungu vilivyo mfanya Ndugai awafungia, lakin naona aibu kukuelekeza mtu mzima hiv cha kufanya kama shule ulikimbia rudi tu rafiki yangu yaani hujui hii mihimili mtatu inafanyaje kazi.
 
Ati kinachotoka nje kinakuwa edited na bunge TV ...mbona wewe clip yako hajakuwa edited ? nasema tena haka katomb boy bure kabisa yaani afadhali ufuge jogoo.
 
Hajamsikia Magufuli Akimwambia Spika Ndugai Kwakufanya Kazi Nzuri Bungeni Kwakuwanyosha Na Yy Huku Nje Atawanyosha Mpaka Wakome Kupiga Kelele,
 

Akiwa anaongea na waandishi wa habari, mbunge wa jimbo la KAWE, Halima Mdee amesema kwamba lazima atamfikisha spika wa bunge la Tabzania, Job Ndungai mahakamani

Asema sheria zilizotumika katika kuwaondoa sio sahihi na pia akazungumzia kuhusu swala la bajeti linaloendelea bungeni kwamba ni porojo.

47a8b839f4a9e4543fd65b050ebbd48a.jpg


Pia anasema walikuwa na dhumuni zuri la kupinga mbunge wa jimbo la UBUNGO, John Mnyika kutolewa kwa nguvu ndani ya bunge.

Amesema pia walinzi wa bunge kutolewa na kuwekwa wengine ni kinyume.

Huyu pinaple face wamesha mfiksi kwa juidai anjua jua.
Kama kamsikia Magufuli leo , "she should watch out"
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom