MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Hahahaha, braza wewe mtata sana. Eti kitimoto ya kondoo.
Hahahaha, braza wewe mtata sana. Eti kitimoto ya kondoo.
Hahahaaa miaka ya hivi sasa situmii kabisa wine kijiweni kwangu wanamimiss sanaGrilled Pork is just phenomenon. Wine pembeni kidogo: I wont spoil your happiness......
Hhaha Mzee wine imekufanya nini tena ?Hahahaaa miaka ya hivi sasa situmii kabisa wine kijiweni kwangu wanamimiss sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Namzingua tu huyo dogoHahahaha, braza wewe mtata sana. Eti kitimoto ya kondoo.
Nimecheka kichizi leo.
Matukio mengi tu mkuu mbaya kuliko yote ajali za gari mara kwa mara nilishawahi kuitupa gari yangu mtaroni pale tazara mwaka fulaniHhaha Mzee wine imekufanya nini tena ?
Duh pole mkuu, kama hivyo achana nayo tu.Matukio mengi tu mkuu mbaya kuliko yote ajali za gari mara kwa mara nilishawahi kuitupa gari yangu mtaroni pale tazara mwaka fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikifika mwezi 7 natimiza miaka 9 kutoka niache tungiDuh pole mkuu, kama hivyo achana nayo tu.
Heeeee, mzee basi umetisha sana. Hongera mno mkuu.
Ule utamu wake haupo kwa myama mwingine yeyoteHalafu kwa nn kitimoto bei ghali sana!
Asante sana mkuuHeeeee, mzee basi umetisha sana. Hongera mno mkuu.
Safi sanaYa kuchoma hiyo, ni balaaView attachment 1020195
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?