Mdau ana postgraduate ya procurement na advance diploma ya computer science anasaka ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdau ana postgraduate ya procurement na advance diploma ya computer science anasaka ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Doyi, Apr 25, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Heshma kwenu wadau.Kwa yeyote mwenye nafas katka kampuni,shirika,NGO,hotel au sehemu yeyote anayoweza kufiti mdau huyu naomba msaada wenu mdau mwenzetu atoke mtaani akapige kaz katka sekta zilizotajwa hapo juu.Kwa mawasiliano namba yake ni0713806161.Asanteni na Mungu awabariki
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi sina nafasi ya kazi, na mimi nimeajiriwa ila nafikiria kuacha kazi maana hakuna kitu kibaya kama kutumwa kazi.:A S 114:
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ni wewe au mdau mwingne?
   
 4. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Hapa tunatumia vivuli na syo majina yetu halisi kwa hyo sina unafiki wa kusema ni mwingine kama ningekuwa ni mimi.binafsi nshapata mchongo kupitia Hapa Jf(ALHAMDULILLAH) maisha yanaenda.Huyo ni mdau mwenzangu nae anawinda.Asante
   
 5. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,764
  Trophy Points: 280
  mdau mimi nakushauli akapply chuo kukuu udsm pale ucc wanaanzisha branch mbezi beach ya wireless na mafunzo so nashauli ukapply pale kuna mtu yupo pale ninamfahamu
   
 6. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  hayo mafunzo yanaanza lini? If possible mchek jamaa kwa namba yake umkonect na huyo mdau unaemfahamu.Asante kwa ushauri
   
Loading...