Advanced diploma in Computer science holder natafuta ajira

Advanced diploma in Computer science holder natafuta ajira

madamajr

Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
30
Reaction score
11
Ndugu zangu wakubwa kwa wadogo salam,mimi nina advanced diploma ya computer science toka chuo cha uhasibu arusha,nimemaliza mwaka juzi lakini mpaka leo sijafanikiwa kupata ajira,naomba yeyote mwenye moyo wa kunisaidia anisaidie kwa hili.mwenye moyo huo naomba aniPM tafadhali.Natanguliza shukrani kwenu nyote,email yangu ni jimzjah@gmail.com na namba ya simu ni 0785111227
 
Wewe ndo una shda alafu eti mtu aku Pm? Kaka wengine syo member wa jf wanaweza kukusaidia ila kukupm hawawez kwa kuwa hawana account humu.Kwa urahisi ungeweka mawasiliano yako ya simu au email watu wakupe dili.Kuwa na mawazo mapana mkuu fikiria nje ya box
 
Je unauzoefu gani toka umemaliza chuo?
Kwanini usiombe internship mahali (bila malipo) ili upate ujuzi? Miaka miwili mingi bila ujuzi wa kazi...
 
Tatizo mnapenda vitu vyenye majina makubwa kama USIMAMIZI WA FEDHA mtasimamia fedha za nani? Wakati baba zenu hawana mapesa.Haya sasa naliComputer sciance lako unamiaka 3 bila ajira
 
kadudu kama huna ushauri au msaada sio lazima uandike,sijachagua kazi wala jina kama umesoma vizuri nilichoandika
 
Tatizo mnapenda vitu vyenye majina makubwa kama USIMAMIZI WA FEDHA mtasimamia fedha za nani? Wakati baba zenu hawana mapesa.Haya sasa naliComputer sciance lako unamiaka 3 bila ajira
wewe ndugu acha kutoa majibu mabaya kama huwezi kuchangia kaa kimya! wewe unafikiri jamaaa anapenda kukaa bila ajira au chuo alichosoma ndio kinamfanya akose ajira? siku nyingine jirekebishe!
 
kadudu kama huna ushauri au msaada sio lazima uandike,sijachagua kazi wala jina kama umesoma vizuri nilichoandika
msamehe bure ndugu yangu! usijali mkuu muda sahii ukifika utapata tu kazi yako nzuri
 
Wewe ndo una shda alafu eti mtu aku Pm? Kaka wengine syo member wa jf wanaweza kukusaidia ila kukupm hawawez kwa kuwa hawana account humu.Kwa urahisi ungeweka mawasiliano yako ya simu au email watu wakupe dili.Kuwa na mawazo mapana mkuu fikiria nje ya box

Kuwahi kujibu pasipo kusoma na kuelewa nao si ujanja.kwani haujaona e mail ya jamaa na namba yake ya simu.watu wenginne ni kupinga kila kitu.haifai.
 
Kuwahi kujibu pasipo kusoma na kuelewa nao si ujanja.kwani haujaona e mail ya jamaa na namba yake ya simu.watu wenginne ni kupinga kila kitu.haifai.

Mh asante kwa kuparamia mambo.Labda nikusahìhishe kuwa muhusika hakuwa ameweka hyo email wala no za simu ila nlipomshauri hvo haraka alifanya EDITING akaongezea nlichomshauri na kama umenote kitu ameshukuru kwa ushauri na hata thread yake mwisho kabisa inaonesha imekuwa edited.Ningekuwa nimeshauri ambacho tayar amekifanya nafkir angecomment na kunijibu kama ulivofanya wewe.Nafkir wewe ndo hufai kwa umakini mdogo na kuparamia mambo bila kujua chanzo chake.Nipo makini sana na usinipimie kiwango changu mkuu.karibu tule pweza na ngisi mkuu tujenge afya na kuimarisha ndoa zetu kama umeoa au .He he heee
 
Back
Top Bottom