Mdanganye tu matege

Mbona ndio zao hao!wanapenda siku zote kudanganywa. Ukiongea ukweli unaonekana huna mpango.
 
na nyie mshazoea kudanganya hata kama hatutaki kudanganywa

genuine guys wapo wachache sana
wengi players
 
I am Mr clean trust me Matege hata cheti cha ukweli ninacho

hata nanilii alijifanya ana phd ya ukweli kama wewe na kasura kake ka upole ndo nikasema hapa nimepata kumbe nimepatwa.. we pita hiviiii tena speed 120
 
Last edited by a moderator:
hata nanilii alijifanya ana phd ya ukweli kama wewe na kasura kake ka upole ndo nikasema hapa nimepata kumbe nimepatwa.. we pita hiviiii tena speed 120
Matege si kila njia upitayo ina nyoka mengine ni majani tuuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…