Mdai na mdaiwa

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Mdai (Lender): “Leo sikubali, ni lazima unipe hela yangu, lasivyo patachimbika hapa..”
Mdaiwa (Payer): “Bora nife tu kwa kujiua ili niepukane na deni lako”. Mdaiwa akachukua kisu na kujichoma nacho- akafa. Kuona vile, Mdai akatabasamu na kusema;
Mdai (Lender): “Hee!! unadhani utaondoka na pesa yangu kirahisi hivyo, una masihara kweli”. Nae Mdai akachukua kisu na kujiua. Pembeni kwa mbali palikuwa na jamaa mwingine ambaye alikuwa anafuatilia malumbano hayo, alicheka sana na kusema.. “Hawa jamaa wapumbavu kweli, nami lazima nione mwisho wa ugomvi wao ni upi..”. Nae akachukua kisu na kujichoma nacho, pia akafa.​
 
Mkuu exellent umevunja mbavu na na naniii ha ha ha
 
hehe! thanx for making my desert after lunch mmmua!
 
huyo mdai ni noma,he will follow what is rightfully his to the grave.
 
Mdai wa aina hiyo hatorokwi kamwe, yaani anafuata hadi kuzimu. Na huyo mbea wa kushuhudia magonvi ya watu shida tu.
 
duh! hii imetulia, ila kaka nakushauri utoe kitabu cha vichekesho utauza sana, coz talent huwa haimlazi mtu njaa (angalia shigongo kwenye hadithi, nature kwenye rap, cheka kwenye ngumi n.k)
 
Nimejichoma kisu sasa hivi nashuhudia ngumi kati ya mdai na mdaiwa, ila namuona huyu wa tatu sujui ni yule shuhuda wa hiki kisa anashangilia ile kinoma
 
huyo namba 3 sio mmbeya ila ni mwandishi wa habari
 
Nimejichoma kisu sasa hivi nashuhudia ngumi kati ya mdai na mdaiwa, ila namuona huyu wa tatu sujui ni yule shuhuda wa hiki kisa anashangilia ile kinoma
kwahiyo unaangalia show bila kiingilio
 
duh! hii imetulia, ila kaka nakushauri utoe kitabu cha vichekesho utauza sana, coz talent huwa haimlazi mtu njaa (angalia shigongo kwenye hadithi, nature kwenye rap, cheka kwenye ngumi n.k)
Kaka ndo ninachokiwaza i hope nikitoa kitabu itauzika
 
Mdai wa aina hiyo hatorokwi kamwe, yaani anafuata hadi kuzimu. Na huyo mbea wa kushuhudia magonvi ya watu shida tu.
heri kujichoma tu,maana kama umejiua halafu anakufuata walipokuwa wanaishi ikwaje,jamaa alishamchoka ingawa kweli dawa ya deni kulipa
 
Nimejichoma kisu sasa hivi nashuhudia ngumi kati ya mdai na mdaiwa, ila namuona huyu wa tatu sujui ni yule shuhuda wa hiki kisa anashangilia ile kinoma

mbona sikuoni?.....alaa nakuona sasa. basi njoo upande huu tushangilie pamoja.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…