Uchaguzi 2020 Mdahalo yes, kutumia wasanii ni NO!

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

At least mdahalo unawapima Wagombea nafasi hivyo kumsaidia ama kumjulisha mpiga kura yupi anafaa kwa maoni yake.

Sasa hatuelewi hili la kutumia wasanii, lina lengo gani haswaa?

Tunaomba chaguzi zijazo mdahalo uwepo/uongezwe kwenye protokoli za kampeni za Uchaguzi.

Na kutumia wasanii kuondolewe.

Process zote ambazo hatujui lengo lake ni nini haswa, zitolewe tu.

Binafsi kutumia wasanii kwenye kampeni kwa Serikali ambayo imemaliza muda wake, si sawa.

No, it is not a campaign stratergy.

Sending message that this artist is endorsing Magufuli.

Is like attracting their fans.

Who (some) are in Millions.

Is this not a bribe?

Hapana kwa kweli,

there should be a fair play.

Wagombea wote wawekwe kwenye mizani moja, waanze wote moja.
 
Back
Top Bottom