Mhonzuyadilu
Senior Member
- Oct 28, 2012
- 156
- 53
Wanajamvi kama ambavyo CCM wametuonesha karata yako ni Kamanda Magufuli mi binafisi sijawahi kumusikiliza huyu bwana akimwaga mikakati yake ya uongozi wake kama mbunge.leo kapewa rungu basi kabla ya kura hapo october aje kwenye media na wapinzani wake wakuu tupate kuchambua ukweli na ubabaishaji wa hoja wa wasaka urais wetu.Nattumaini upande wa pili yuko kamanda mbishi kabisa naye ni dr Slaaa basi media zetu wekeni midahalo tuwasome vizuri majemedari hawa wawili.