Mdahalo JK TBC1 Jumapili ijayo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo JK TBC1 Jumapili ijayo?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by AMARIDONG, Oct 23, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Dakta jei kei atafanya mdahalo jumapili ijayo akitoka kupiga kura chalinzeeeeeeeeeeee anakuja moja kwa moja bamaga tbc wani kwa ajili ya mdahalo,duuuuu kweli sisiem hamnazo tehe;tokea august anaogopa midahalo mpaka siku ya kuvot ayaaaaaa;;


  wadau mnaonaje hiyo ratiba msomali aliyompangia mgombea wetu;;patamu hapo hope ataendelea na ahadism za kufa na kufaana.  Wadau mnaonaje hiyo ratiba ya msomali kanan
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa anafanya mdahalo wa nini wakati ndo siku ya kupiga kura ..kweli ujinga ugonjwa mbaya sana duuuh...
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Son of peasant naona umeamua leo kuturusha roho mkuu. Anyway, bado wiki moja tutakuwa na nafasi ya kuwashughulikia watu kama nyie.
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hii habari ni ya kupotosha. Mwisho wa kampeni ni Jumamosi tarehe 30/10/2010 baada ya hapo ni ujenzi wa Taifa hadi miaka mitano ijayo tena. Mliopata offer za lunch na vinywaji kwa ajili ya kuwasifia wagombea kuanzia 31/10/2010 mtatumia mifuko yenu, na atakayekuwa ameshinda atakuwa CLASS ingine wala usitegemee kukaa naye meza moja tena labda 2015!!!
   
 5. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Anataka mda uo tuconcentrate kumuangalia tusiendelee kulinda kura zetu vituoni.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135


  SOURCE please ACHA MAMBO YA KIHUNi
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Labda kama atafanya na Dovutwa.
   
 8. M

  MBWA MKALI Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm kweli majuha eti kinana na makamba wametangaz mdahalo wao jumapili ijayo baada ya uchaguzi kuwashukuru wananchi kwa kuwachagua ???nani kasema tutawachagua ccm jamani hawa jamaa mbona wanatuchokoza??
   
 9. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Source plz.hawa ni wenda wazimu sisi hatuwachagui ngo,Rais ni slaa Pm tutajua wenyewe sasa.
   
 10. dazenp

  dazenp Senior Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni mbinu hii ya kututoa vituoni tusisimamie kura....yaani hakuna ujinga hapa subiri aone wataenda wasimamizi wao
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Scrap!!!!!
   
 12. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Abrahaman kinana television
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hawana akili timamu walioandaa hiyo ratiba!
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  naona S imekulinda hapo hahahaha hahaha
  ila subiri yule MOD wa kike aje uone mziki wake
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mimi sina haja ya kuangalia JK anasema nini maana hajui hata nini nchi yake inataka.
  Hataki kusikiliza ushauri wa wasaidizi wake anadhani ana akili kuliko wao na sisi.
  Aende hades wala simhitaji kumwona akihutubia
   
 16. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bwaha ha ha ha ha Ingekuwa ni tarehe 1 April
   
 17. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  jamani naombeni mnidadavulie hii nimeisikia mwanakijiji akiiongela ktk bongo radio... what will be the meaning of that debate baada ya uchaguzi? i smell something bad!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...