Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,541
mkuu si afadhali katoa yake ya moyoni, ombi linaweza kubalika au kukataliwa lakini message send
Mkuu njoo huku kunduchi kuna jamaa anaitwa ''kapulanyege' atakusaidia kitaalamu jinsi ya kumudu kazi.......ukifika mtongani tu ukiulizia ''kapulanyege'' unampata............!!!!!!!!!!ni kweli mkuu but inatupa shida sana marijali....familia inadai na huyu nae anataka kuniandalia zengwe tu
mmh sisy jasiri sana .... hutaki kampani aiseee?
mmh sisy jasiri sana .... hutaki kampani aiseee?
Mkuu njoo huku kunduchi kuna jamaa anaitwa ''kapulanyege' atakusaidia kitaalamu jinsi ya kumudu kazi.......ukifika mtongani tu ukiulizia ''kapulanyege'' unampata............!!!!!!!!!!
...mhh miss chagga,!! acha kumuingiza chaka kijana....
mmmh aisee waifu atanichapa!!!
Hahaaa tena hao nasikia ni watamu sana
hivi ni wewe amabaye alisema atakuwekea sumu ufe? ila kuiba si issue sana
wadau salaam,kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umrina hata umbo(ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia),amekuwa akiniheshimu sana tu,shikamoo za kutosha but juzi kati kanitia kwa majaribu.huwa tunakawaida ya kumuagiza chakula na yeye pia tunamnunulia au hata sometymz anaweza kuja akakuomba hela ya kula au ya nauli,binafsi huwa nampa nikiwanayo.kwa muda wa mwezi mmoja sasa amekuwa akinionyesha dalili za kimapenzi but nikawa napuuzia tu na pengine nilidhani labda ninamuhisi vibaya.juzi kati kaja kuniomba hela ya lunch na akaniambia anashida,anaomba tuongee kidogo.basi tukatoka kwa nje ofisini ili tuweze kuongea,alichokisema nikabaki mdomo wazi...nanukuu."kaka kozo mi hapa nilipo sina mwanamme wa kunitunza,unaonaje ukiwa unanipa vijimatumizi vidogo vidogo halafu ukinihitaji nitakuwa nakupa kampani"..sikuamini kama angeweza kuniambia kitu kama kile but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo.
sometymz cjui ujasiri huu unatoka wapi
Ungepiga tu Mkuu,
"Loose Ball" kama hizo sio za kuziachiaga, manake unaweza ukatangaziwa kwa watu kua "haudindi" kaka!!
Ila tu, VAA!!
mmmh aisee waifu atanichapa!!!
....wakati nakua niliamini kwa moyo wangu wote kuwa fisi haachi mzoga, kumbe sio kweli..! amakweli duniani kuna mambo...