kitutunyantuntumbe
Member
- Aug 2, 2012
- 10
- 8
natafuta mdada wa stationery
umri usiozid miaka 23
akae maeneo ya sinza kwakuwa ofisi iko sinza
awe mchapakazi sio mvivu.
ajue kiingereza
akijua photoshop ni faida kwake au awe tayari kujifunza
mshahara ni maelewano
tuma maombi kwenda sinzastationery@yahoo.com
mwisho wa kutuma maombi ni ijumaa 17/07/2015
ahsante sana