Mdada wa saluni anahitajika

Spinster

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
487
138
Anahitajika dada au mkaka wa saloon anaejua kusuka mitindo yote vizuri, kufanya Makeup, kushonea weavings, kubond n.k

Kama Yupo tafadhali anichecki: 0622544644

Eneo la kazi ni Mabibo Mwisho karibu na chuo cha usafirishaji.

NB: Salon ni mpya hivyo anahitajika mtu ambae ana uzoefu na asiwe anakaa mbali sana.
 
Umempata au bado?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom