Natafuta mdada wa kufanya kazi ya saluni ya kike

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
584
267
Natafuta mdada mfanyakazi wa salon ya kike awe anaweza kufanya makeup za kisasa kwa maharusi na sherehe mbalimbali, kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi wa Dar maeneo ya Ukonga G/mboto mjii kuepusha umbali wa usafirii.

Salon ipo Moshi bar kwa diwani Ukonga. Awe mkarimu kwa wateja na mwaminifu katika biashara. Mshahara makubaliano, anayeweza anicheki inbox.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom