Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

mkuu mbona unaanza kuniogopesha?

ni kawaida kwani its a natural phenomenon kuwa like poles always repel but unlike one attract, kama huamini wewe endelea kukaa kaa hapao coz huwezi jua kama ndo style yake pia ya kufikisha ujumbe kwako kuwa wewe umezidi kuwa kimyaaaaaa...
 
Huyo binti mshamba.....ndo anamuibia uyo sharo na hiyo mikelele yake.

Ssi kweli kwamba kila mwanamke akipiga kelele wakati wakufanya mapenzi basi nia yake ni kumuibia huyo anayefanya naye mapenzi. Wengine ni nature yao na hata ukifanyaje atapiga kelele tu kwani hiyo inakuja automatically na wala hakai hakapanga kuwa iwe hivyo.

Tiba
 
usiniambie kelele zote zile ni wizi mtupu,hamna lolote....any way nazingatia ushauri wako ila kwa kumtokea hapana.
 
tiririka.....
 
Kama yeye hataki kufungulia radio kwa sauti kubwa kwa nini wewe usifungulie yako ili usisikie
 
ni kawaida kwani its a natural phenomenon kuwa like poles always repel but unlike one attract, kama huamini wewe endelea kukaa kaa hapao coz huwezi jua kama ndo style yake pia ya kufikisha ujumbe kwako kuwa wewe umezidi kuwa kimyaaaaaa...

mmmmmhhh!!!!!mkuu MeinKempf????
 
Kama yeye hataki kufungulia radio kwa sauti kubwa kwa nini wewe usifungulie yako ili usisikie

nimekuwa nikitumia njia hiyo mkuu kama niko alone but napokuwa na wageni ni kero tupu.mna maongezi hamuwezi kufungulia sauti ya aina hiyo.
 
Ndo mpaka mtaa wa 4 wakusikie.....!wengi wao ndo wamuhakikishie huyo jamaa anamkuna vizur.Hata kama kunogewa hiyo mwisho....
 
Acha hizo mzee,mbona unataka kuingilia starehe za watu,kila mtu ana uhuru wa kujifaragua kwa namna apendavyo!
Maisha yenyewe yapo wapi? Kama vipi wewe sepa tuu,acha watu wale starehe,
 
u made ma evening,aren't u a woman?....nimecheka sana

Wengine wazushi......!hata kama mwanamke lakin ustaarabu kitu cha muhimu,kuna jirani yetu hapa huwa anatuambiaga leo usiku ntamlilia jamaa mpaka anielewe ombi langu.Na kwel hiyo usiku wapangaji wenzie wanakoma.......!Vumilia au hama..
 
Ndo mpaka mtaa wa 4 wakusikie.....!wengi wao ndo wamuhakikishie huyo jamaa anamkuna vizur.Hata kama kunogewa hiyo mwisho....

Sijui una umri gani lakini sisi tulioishi miaka mingi, tumeishawaona, kuwasikia na kuishi nao wapiga kelele. Wako wengi tu. Na amini usiamini, sio kwa kupenda kwao, inakuja tu na akimaliza anauliza hivi majirani wametusikia?

Tiba
 
Wengine wazushi......!hata kama mwanamke lakin ustaarabu kitu cha muhimu,kuna jirani yetu hapa huwa anatuambiaga leo usiku ntamlilia jamaa mpaka anielewe ombi langu.Na kwel hiyo usiku wapangaji wenzie wanakoma.......!Vumilia au hama..

kumbe na ka usanii kamo eh..haya,,,there i go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…