wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
Duuuh!!km vp hama tu hapo mkuu!
Hama si umepanga ingekuwa Nyumba yako
tungejadili mengine saa hizi!!!!!!!!!!!
Hama si umepanga ingekuwa Nyumba yako
tungejadili mengine saa hizi!!!!!!!!!!!
Kazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.
Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.
Wewew usihame mfanyie vituko akosane na mpenzi wake ili ahame yeye, njia ya kumfanyia ni kwamba ukiona wameanza kuti........ana, tafuta msela mmoja aje amgongee dirisha halafu amwambie nifungulie mpenzi wangu nimewahi kama tulivyopanga, kwani unanipaga burudani sana ndo maana nakupenda mno. halafu ana sepa, watajiju wenyewe, na siku nyingine hivyo hivyo mpaka ajirekebishe

Toka mpera mpera katafute chimbo jipyaaa kwani kuna siku atajisahu na kukutaja hata wewe hata kama ni kwa bahati mbaya tu coz ni majirani wa karibu sana na hao wageni wako wakiwepo ndo itakuwa majanga zaid ya jana.
dah mkuu kanigini,ulishawahi kucheza mgambo nini?n'way,sometimes nafikiria(japokuwa sina uhakika na hilo)pengine kujua watu wanamsikia ndio starehe yake....but m not sure
Kurekodiwa ni aibu hata kama anapenda watu wazisikie hizo kelele, kwa kuzingatia pia kwamba anaacha dirisha wazi kama ulivyosema tafuta kamera yenye flash kali na mtaalamu wa kupiga picha, wakiwa katikati ya mahaba picha inapigwa shaa!
Hapo ni mwisho wa maneno. Asipohama ndani ya mwezi unakuwa unadondosha picha moja moja mlangoni kwake.
mkuu sitashitakiwa kwa kuvamia privacy ya mtu na hizo picha kuwa kama ushahidi?
ahaahha,we unafikiri solution haioni mbona angeshahama siku nyingi. Huyu bila shaka anaenjoy maana inaonekana hajaoa..!!!!