Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Barbarosa changamkia fursaWomen supporting wowen movement!!
Vicoba vimetema wakuu natafuta mdada mzuri wa kufanya kazi ya kuendesha Uber dsm.
Umejuaje wanataka kazi?
😳😳😳😳😳Hata kuolewa ingewezekana ningeolewa na wanawake wenzangu
OkBahati mbaya mimi siyo Mdada ni Mwanaume hivyo sitimizi vigezo, vipi wewe/ nudging/ jamaa unatimiza vigezo?
Wee ni mdada tuuuBahati mbaya mimi siyo Mdada ni Mwanaume hivyo sitimizi vigezo, vipi wewe/ ndugu/ jamaa mnatimiza vigezo?
Ujumbe ukufikie Culture MeWomen supporting wowen movement!! Nawapenda sana wanawake wenzangu
Hehehe! Sasa inatuhusu?Mambo mengi nafanya na wanawake wenzangu na tumefanikiwa sana.
Wewe ni mmoja wa LGBT?Hata kuolewa ingewezekana ningeolewa na wanawake wenzangu
Gari la hela za vicoba 😱Vicoba vimetema wakuu natafuta mdada mzuri wa kufanya kazi ya kuendesha Uber DSM.
Wee ni mdada tuuu
Acha nisimpe cheo shetani kazi inaweza ikageuka kaaaaazi.Ujumbe ukufikie Culture Me
Hehehe! Sasa inatuhusu?
Wewe ni mmoja wa LGBT?
Gari la hela za vicoba [emoji33]