Mdada wa kuendesha Uber anahitajika

Mdada wa kuendesha Uber anahitajika

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,501
Women supporting wowen movement!! Nawapenda sana wanawake wenzangu. Mambo mengi nafanya na wanawake wenzangu na tumefanikiwa sana.

Hata kuolewa ingewezekana ningeolewa na wanawake wenzangu. Vicoba vimetema wakuu natafuta mdada mzuri wa kufanya kazi ya kuendesha Uber DSM.
 
Women supporting wowen movement!! Nawapenda sana wanawake wenzangu
Ujumbe ukufikie Culture Me
Mambo mengi nafanya na wanawake wenzangu na tumefanikiwa sana.
Hehehe! Sasa inatuhusu?
Hata kuolewa ingewezekana ningeolewa na wanawake wenzangu
Wewe ni mmoja wa LGBT?
Vicoba vimetema wakuu natafuta mdada mzuri wa kufanya kazi ya kuendesha Uber DSM.
Gari la hela za vicoba 😱
 
Wanawakeee Wanawakeee Wanawakee Wanawakeee Uber Uber Uber Uber Uber Uber Kuolewaa Kuolewaa Kuolewaa Kuolewaa Kuolewaa Kuolewaa Kuolewaa
Anatafutwa Anatafutwa Anatafutwa eee eee .eee eee eee
 
Back
Top Bottom