Mdada wa kazi

Mdada wa kazi

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,189
Habari wana forum,
Nko kwenye uhitaji wa MDADA wa Kazi za nyumbani. Nna familia yenye mke na Mtoto mmoja.
Umri 15-20
Niko morogoro
Naomba nisaidiwe. Salary ni elf60
PM inahusika
 
Kuwa makini wadada wa kutafutiwa mitandaoni utaletewa mwizi uamke hayupo. Ushauri tafuta kupitia watu unaowafahamu ukishindwa kachukue ndugu kijijini sidhani kama utakosa
 
Habari wana forum,
Nko kwenye uhitaji wa MDADA wa Kazi za nyumbani. Nna familia yenye mke na Mtoto mmoja.
Umri 15-20
Niko morogoro
Naomba nisaidiwe. Salary ni elf60
PM inahusika
Ninae ni pm no yako
 
Siku hizi kupata mdada wa kazi imekuwa tabu kwa sababu wengi wanaendelea na masomo. Si unajua elimu bure tena!
 
Kuwa makini wadada wa kutafutiwa mitandaoni utaletewa mwizi uamke hayupo. Ushauri tafuta kupitia watu unaowafahamu ukishindwa kachukue ndugu kijijini sidhani kama utakosa
Nimekuelewa ndugu
 
Nakutxt muda c mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom