Mdada wa Kazi Ugently Anahitajika

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,521
2,000
Wakuu Muda huu nimepigiwa simu na Dada yangu ambaye yupo Dar. Kwa kweli nimesikitika kwa hali anayopitia ila Ndiyo Dunia Ilivyo lazima tukubali kuyapitia yote.

Alikuwa anaishi na Mdogo wetu wa Kike, sasa Mdogo wetu wa Kike amepata Chuo ambacho analazimika Kukaa huko huko Chuo ili aweze kutimiza ndoto Yake. Hili suala hakulitegemea Kabisa.

Hapo Nyumbani Yupo Yeye na watoto wake wawili na Kwa Hali aliyonayo Muda wowote anaweza kudeliver.

Mimi Nipo Mkoani ameniomba nimtafutie Mdada wa kwenda kumsaidia hizo kazi za Nyumbani. Wakati naendelea kuulizia huku niliko naomba kama kuna Yeyote anayeweza kutusaidia kupitia hapa atusaidie kutuconnect na Yeyote Mwenye uhitaji.

Makazi ni Huko dar Chanika baada ya Kupita Uwanja wa Azamu.

Najua Humu nikusanyiko la wengi hivyo kusaidiana hakuna mipaka.

Nawasilisha
 

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,271
2,000
Utafanikiwa.usihofu.Penye wengi hapaharibiki neno.Ukipata wengi wazurii.Nani.nigawie mmoja.Ila walioishia la 7 ni wazuri kidogo wanakaa.Ila wa form4 Huwa hawakai.
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,099
2,000
Vp nikupatie ndugu yangu wa darasa la saba 18yrs
Utafanikiwa.usihofu.Penye wengi hapaharibiki neno.Ukipata wengi wazurii.Nani.nigawie mmoja.Ila walioishia la 7 ni wazuri kidogo wanakaa.Ila wa form4 Huwa hawakai.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom