Alishatumika hovyo lazima akose ninachokisemea mimi mkuutatizo mabeki tatu wanatumika aisee
Endelea kuwaheshimu mkuu ,wenzako wanawaheshimisha 💦Ila dada wakaz hapn nawaheshimu sana
Unafanya hivyo binti?Ujumbe mzuri kabisa ni aibu mwanamke kunuka kijasho
Huyu itakuwa anapaka makeup nyingiKuna dada huku mtaani nadhani anazingatia sana usafi na karibu yote hayo uliyoyaandika anayazingatia, ila sasa akienda kuoga then na ww ukifuata lazima bafuni ukutane na udongo chini kumbe ni idadi ya mafuta na manukato anayopaka hvy akioga yote yanaanguka chini.
Kumtongoza dada wa kazi nisawa umemfanyia ukatili atakukubali kwasababu hana pakwemda na anajua akipoteza iyo kazi kupata tena ni ngumu so why umnyanyase mtu kihisiaEndelea kuwaheshimu mkuu ,wenzako wanawaheshimisha 💦
Yeah! Najitahidi sana nachukia uchafu in my laifuUnafanya hivyo binti?
🙂
Nachukia mwanamke anae shindia chupu moja kwa siku amashindwa toa 12k kununua chupi daznUjumbe mzuri kabisa ni aibu mwanamke kunuka kijasho
Kuna dada huyo mkuu nafahamiana (😋) naye..kwenye pochi anatembea na 3 ya nne iko mwilini lizuri haswa 😀... hata wewe hutoboi bila kurushia rushia voko 🤣🤣Kwenye pichu hapo kuna wadada hawabadirishi siku nzima kashindia pichu moja
Naomba namba yake ase hao ndio tunawatakaKuna dada huyo mkuu nafahamiana (😋) naye..kwenye pochi anatembea na 3 ya nne iko mwilini lizuri haswa 😀... hata wewe hutoboi bila kurushia rushia voko 🤣🤣
Sometime unamwaga motoo usio wa moto 😀😍Mwanamke anaye jua usafi wa mwili na bado akawa na ngozi nzuri bila harufu popote kwa kutumia hayo yenye mengi... hata kwa maghadi ataoga kwa gharama ndoto na kuwa msafi kila sekunde.. Na hata ukisugua ngozi hamna uchafu unatoka.. Na kuishi bila wasiwasi na kuongeza mengine marashi akitaka kujisikia furaha moyoni...
Funzweni na funzeni wangali toddlers.. 😊🤗
Ngoja ninunue nisafishe kidaka ushuzi🥴Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru
Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi
Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi
Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee
Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda
Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko
Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo
Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane
Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri
Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
Hakuna ukatili unaombatana na utamu mkuu, yan akubali halafu apate raha useme ni ukatili? Rudi kwenye mapishi tu mkuu huku umepotea njia.Kumtongoza dada wa kazi nisawa umemfanyia ukatili atakukubali kwasababu hana pakwemda na anajua akipoteza iyo kazi kupata tena ni ngumu so why umnyanyase mtu kihisia
Hapo inategemea na mazingira anayoshinda lakini kama anashinda mgahawani kwenye heka heka hiyo chupi atabadili saa ngapi si hadi akifunga akirudi nyumbaniNachukia mwanamke anae shindia chupu moja kwa siku amashindwa toa 12k kununua chupi dazn
Mjomba ile mali Mungu anajua asee, best of all ni black ☺️Naomba namba yake ase hao ndio tunawataka
waifu matirio kabisa, wadada wasafi eti papuchi inanukia machungwa machungwa.Yeah! Najitahidi sana nachukia uchafu in my laifu
🤣🤣🤣Ila nawe unazidi kuchangamka aiseeMwanamke ambae haogi sana na hatumiki hovyo ,huwa anakua na kaharufu ka kipekee na taste nzuri sana ,mabeki tatu waishi aseee.