Imagine umgande mwanaume ambae anatembea na machizi.Kwani hao machizi hawawezi kupewa mimba na mchizi wenzao? una uhakika gani kua wamepewa mimba na watu timamu?
Mtu mwenye akili ya utimamu hawezi kulala na chizi.
😅😅😅basi sawaaaYeah hapa tunadeal na hawa hawajaolewa wasije waakachina mitaani huko na vitoto kila kitoto na baba yake
Wewe unajitoa?😀Wanawake bana
Katoa tu mfano jamaniImagine umgande mwanaume ambae anatembea na machizi.
Akili ya wapi hii?
Mfano wenye ukweli ndani yakeKatoa tu mfano jamani
Umeonaee hapo ndo ninapokukubaligi Demi ake 🤣🤣🤣😅😅😅basi sawaaa
Oh huyo mume ulikutana nae kanisani na hamkuanzia kuwa wapenzi kwanza?🤔ni mume ndio unaweza kumganda msonge mbele lakini mpenzi ambae ni kama daladala muda wowote unashuka anapanda mwengine hapana,
Najitoa jamani.Wewe unajitoa?😀
Nakuja we subiriNipo guest Vp unakuja
Wanaume tuko peace sana de libolo ni haki ya kila mwanamke hata chizi. Wakipewa wanataka tena 😅Mfano wenye ukweli ndani yake
100%MYOB
Haha sawa mamii nakuelewa vyema😍Najitoa jamani.
Sipo level za wanawake wanaoongelewa hapa. Haitatokea
Sawa sawaWanaume tuko peace sana de libolo ni haki ya kila mwanamke hata chizi. Wakipewa wanataka tena 😅
Wenzenu wako mitaani wanatamani wawe na ndoa na familia zaoNajitoa jamani.
Sipo level za wanawake wanaoongelewa hapa. Haitatokea
Wapambane kuwaganda waolewe, wanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoaWenzenu wako mitaani wanatamani wawe na ndoa na familia zao
Tena watugande kweli maana kuna namba 'E' zimetoka pisi mbichi zinasubiri walaji na wa kuziweka ndaniWapambane kuwaganda waolewe, wanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoa
Nakuja we subiri
Nani wa kuziweka ndani? Wewe? 🙄Tena watugande kweli maana kuna namba 'E' zimetoka pisi mbichi zinasubiri walaji na wa kuziweka ndani
Ndio natafuta pisi moja niiweke ndani tupike na kupakuaNani wa kuziweka ndani? Wewe? 🙄