Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Siwezi kukubadirisha msimamo Ila kwenye maandishi yako nimeso.a kitu Cha zaidi.Umetendwa na Unadhani ni wote.Hapana you need a man I your life.
 
Point zetu ni mule mule .Na ijulikanavyo Kama mmekutana I love I love you too mkasomana jamaa ukamsoma na yeye akakuandika moyoni( point ipo hapo) sasa ipo hivi mmependana kukosana kupo hakukupenda ( how can you know if he is not in love some guys are very good in acting Komando John haoni ndani)Sasa vyovyote vile ukamuelewa MGANDE ( take my word
 
Well said Demi,
No wonder ndoa nyingi za siku hizi ni migogoro mitupu hayo mambo ya kumganda mtu hata hakupendi unaolewa nae hisia na moyo wake kaacha kwingine,kifuatacho hapo ni dharau,vipigo,kudhalilishwa na kila aina ya tafran.
Point hapa huwa siielewagwi kumganda mtu anakuwa hakupendi?? Au tuna maana Ile Hali ya uvumilivi maana nakataa Ile kila mtu unazila unaanza upya kwa mwaka mahusiano Kama ,6 why tho
 
Unajielewa, una busara, umekomaa kiakili, unajitambuwa. Ubarikiwe
πŸ’ͺπŸ™ŒπŸ€™πŸ€Ÿ
 
Tatizo ladies wanajazana ujinga....I wish mabinti wadogo wasifuate huu ushauri kabisa....mwanamke anatakiwa ajithamini mwenyewe na hao wanaume watamthamini
Haya subirini hao wa kushushwa toka mbinguni.Wanapendana ndo Mana wapo . Haya ya kusema hapendwi. I dhana ya kuendekeza uhuni Sasa Kama A hukumpenda why usiende kwa B toka mwanzo ili huyu A asikugande? Ladies ni kuganda tu
 
Point
 
Hili suala la eti ukimganda Kama Hana hisia mnatoa wapi? Anaweza kukuua kivipi? Au Mimi sielewi jamani hivi mpaka watu wanaanza mahusiano na kushika Kasi huwa ni Nini kimetokea mpaka muwaze hayo? Kuua ni Hila za shetwani ingekuwa hivyo hata Ile ya mwanza mume na mke kuuana isingetokea mauaji Kuna wakati sababu ni nyingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…