Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

flowers

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
70
Reaction score
201
Heloo,

Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.

Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.

Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.

Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.

Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.

Ni mwendo wa kukomaaa!
 
Heloo.
Hope you are doing poaa!
Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hivi:Zama za kususa kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina!! Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu
ivyo
Ni mwendo wa kukomaaa!!!
Unawaza nini muda huu?
Kumbuka Kuna magonjwa pia
 
Heloo.
Hope you are doing poaa!
Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hivi:Zama za kususa kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina!! Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu

Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki Tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi Titi utaganda! Wewe ongeeni Kama ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.

Ipo hivi Hawa wenzetu Kama hamjui wao kulala hata na Chizi kwao ni sawa Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani?? Ni Hawa Hawa akina Mshana..so Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee Bahati uliyopata ebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu Kama mhe.fulani mrembo unajua why? Maana hakuna asiyependa kuitwa mama Sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.

Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo
Ni mwendo wa kukomaaa!!!
Sawa wamekusikia maua...
Lakini Mshana kaingiaje hapa???
 
Mnazitamani sana ndoa mkizipata tu mnaanza Kasi ya kuzibomoa, wanawake wa Kikristo ndio hovyo kabisa Bora uishi nao uchumba sugu hawajui kabisa Nini maana ya ndoa,wakishazichezea uenda kulia Lia hovyo kwa mtume wao kukanyagishwa mafuta ya urejesho.Hovyo kabisa.
Wa kiislam angalau sababu wanaishi Kama mpangaji.
 
 
IMG-20230704-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom