Yaani anakuja gheto kwa lile joto unatafikiri kuna mvundo ndani kumbe mrundikano wa nguo alizovaaa
Mudi inapungua we unavaa mchupi utafikiri wa kuazima ,Ukiona net yako inakata kata kwa sababu ndogo kama hizo kawaone wamasai au tafuta vumbi la congo mkuu
Nahisi hivyo maana kama signal strength yako ipo vizuri chupi pekee haiwez kuzimisha eti mpaka bikini.hhhhhahahaha eti jaman!device yake inaloose signal
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kuna mdada nilishawahi kutana naye kavaa chupi kubwa kweli ka singlend, kashikizia na pini, ilinikata stimu kwelii
Hasa kundi la wahenga sio!wengine hawawez vaa bikini lakin ujue hilo
Nahisi hivyo maana kama signal strength yako ipo vizuri chupi pekee haiwez kuzimisha eti mpaka bikini.
Akizizoea bikini atasema waje uchi kabisa.
(japo mi sio mpenzi wa manguonguo nikiwa room hapa penyewe naandika nipo naked)
Hasa kundi la wahenga sio!
We hapo uko uchi ila unashinikiza wenzio wavae hiyo michupi yao kutukta stimu ya Game.Nahisi hivyo maana kama signal strength yako ipo vizuri chupi pekee haiwez kuzimisha eti mpaka bikini.
Akizizoea bikini atasema waje uchi kabisa.
(japo mi sio mpenzi wa manguonguo nikiwa room hapa penyewe naandika nipo naked)
Sio chupi zote ni oversize mbona zipo chupi nzuri tu na zinavutia japo sio bikini.Mudi inapungua we unavaa mchupi utafikiri wa kuazima ,
Mtoto wa kike vaa upendeze unaenda kwa byfriend wako unajua kabisa huwez kutoka salama kwa nini uvae hiyo minguo ya kukera vaa kitu uonekane Romantic.
Kuumbe!, kwangu mimi rangi inahusika sana, vaa kyupi nueuuupeeeeeeeee ayaaaaah!. Salamu kwako fundiah wapi!
Kwan ukigegeda kinaisha ?Sio chupi zote ni oversize mbona zipo chupi nzuri tu na zinavutia japo sio bikini.
Wadada wengi including mimi hawapend bikin sababu ya kile kikamba kinakera pale kati.
Sasa kero zote zanini wakati kuna chupi nzuri tu na zinaamsha mihemko yote ya kila aina.
(alafu kwani kila siku gf akija kwako lazima mgegedane? Sevuni vingine kwa ajili ya ndoa)
Mi nmeshangaa kwa joto la mji wetu huu mi hata mdada anayevaa skin tight plus underware namshangaami
hahahah nahs umeniona nillipo !tpo weng aisee !mie nimelala chin kbs !jotooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama buktaWe acha utakuta demu mkaleee mchupi aliovaa sasa Noma.
Mi nmeshangaa kwa joto la mji wetu huu mi hata mdada anayevaa skin tight plus underware namshangaa