Mdada, njoo unipende nina sifa 10

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,095
Reaction score
110,814
Sifazangu ni:-
1-Makengeza
2-Pua ka ngumi
3-Nywele ka mkutano wa nzi
4-Maskio ka bakuli
5-Meno ka reki (gaucho)
6-Mdomo unaharufu ka tundu la choo
7-Sura ka nimenusa harufu mbaya
8-Kikwapa ka fagio la choo
9-Mweusi ka masizi
10-Sija ta..riwa (nina mkono wa sweta)
 
Hivi Mamndenyi si bado unataka mume?
Si uliniambiaga unapenda wenye hizo sifa?
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia leo wewe ni handsome wa CC! Hongera sana!
 

Kama una hela anakuja Madame B...
 
Last edited by a moderator:
Watu wenye pua kubwa au madole kama tangawizi wana bonge la dushelele kama mandingo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…