Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,392
- 1,416
- Thread starter
- #21
Naona wengi wenu mnamtuhum, maana hayajawafika bado, sema mkuu apo amekosea kumuuza, ila katika suala zima la mapenzi lina siri yake.dem waweza muelekeza kabisa kuwa upemdi k2 hiki akakuelewa baada ya muda akaendeleza tabia zake.Nimeona naandika maneno mengi kisha nafuta Sasa nifanye shortcut maana wewe ni mjinga.
Tafuta maana ya neno mtu alafu ukimaliza tafuta maana ya mtu mume ukimaliza tafuta mtu mzima mwenye hakima ukikosa kwenye jamii yako pm hata kwa mshana.
Jambo la mwisho pesa pia ni kipimo cha akili usipokubali kubadilika maandishi yako yanaonesha utakufa masikini
Mi ata sijaona kama roho inamuuma ila amesema tu realityYaani unampa namba mtu amjaribu mpenzi wakoafu bado karoho kanampenda..utaumia bure...
Ila kuna charges yoyote unapewa ukigawa namba kutuliza maumivu kidogo au ndo kizuri kula na mwenzio kiroho Safi![]()
Yaani unampa namba mtu amjaribu mpenzi wakoafu bado karoho kanampenda..utaumia bure...
Ila kuna charges yoyote unapewa ukigawa namba kutuliza maumivu kidogo au ndo kizuri kula na mwenzio kiroho Safi![]()



kizuri kula na mwenzio nduguUsihukum ebu angalia pande zoteMungu akuhurumie mana kama mama ako mzazi angefanyiwa hivo usingekuepo kenge wew
kangekua kanauma ningemwambia demu usiende kwa uyo jamaa, so ninhemuarbua jamaaYaani unampa namba mtu amjaribu mpenzi wakoafu bado karoho kanampenda..utaumia bure...
Ila kuna charges yoyote unapewa ukigawa namba kutuliza maumivu kidogo au ndo kizuri kula na mwenzio kiroho Safi![]()

, ila nasubili ale kwanzamuache mkuu, hajui atendalo, kizuri kula na wapwaUsihukum ebu angalia pande zote
asanteMungu akuhurumie mana kama mama ako mzazi angefanyiwa hivo usingekuepo kenge wew
But nahc ananatetea tu upande wake, hajaangalia sababu ni nini
ushaona, yeye afumwe na boy wake zaid ya mara 4, uyo boy si atamuona boyaBut nahc ananatetea tu upande wake, hajaangalia sababu ni nini
Just yeye angekufuma mara 4 una dem mwingine sijui angechukuliajeushaona, yeye afumwe na boy wake zaid ya mara 4, uyo boy si atamuona boya
Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app




mimi nmefuma mara 4, yeye kanifuma mara 1,Just yeye angekufuma mara 4 una dem mwingine sijui angechukuliaje![]()




, apo nkapewa laana kama zotesema demu ni mzuri vibaya ana mabox sio ya kawaidaJust yeye angekufuma mara 4 una dem mwingine sijui angechukuliaje![]()
Mimi pia ni shuhuda hawa watoto wamejaliwa sama, si tutafte pesa tusema demu ni mzuri vibaya ana mabox sio ya kawaida
Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
sawa, tuongee beiwew ndio dem mwenyew unajiuza acha kuzuga
Great
Duuuh kwa style io utauza wangapNina demu nikiri ni demu wangu, ila jana nmemuacha lasmi japo yeye hajajua yaani atakula mkausho hajawai kuona.
Ni mzuri sana, ana shape kubwa, ni mweupe, yaani shape lipo haswa, ila nliwai kumfuma anachati na wanaume wannne na wote wanadai na wapenzi wake, nliwai kumuacha nkamutukana vibaya mno, ila alilia rafiki yake akaja kuomba msamaha, na demu akakiri kubadilika
Sasa juzi, kuna mwamba hua ananiomba no. za watoto wakali, nkamtumia no. za mademu zangu wote, maana najua stamuoa ata mmja wao, bora wengne wamekaza kuna mmja kawa mgumu kabisa, ila sasa uyu leo anaenda kuliwa mida ya saa 4, napicha ntatumiwa, nmemwambia jamaa ahakikishe anamla asimuache.
Wadada badilikeni jamani, demu yuko vizuri, sio kanishinda ila naogopa kufa wakuu, atakaeitaji no. yake nampa inbox ila mpka jamaa amalize mission yake msije kumuaribia, atakaehitaji anicheki jion..


?