Mdada mzuri, tabia za kuku

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Nina demu nikiri ni demu wangu, ila jana nmemuacha rasmi japo yeye hajajua yaani atakula mkausho hajawai kuona.

Ni mzuri sana, ana shape kubwa, ni mweupe, yaani shape lipo haswa, ila niliwahi kumfuma anachati na wanaume wanne na wote wanadai ni wapenzi wake, niliwahi kumuacha nikamtukana vibaya mno, ila alilia rafiki yake akaja kuomba msamaha, na demu akakiri kubadilika

Sasa juzi, kuna mwamba huwa ananiomba no. za watoto wakali, nikamtumia namba za mademu zangu wote, maana najua stamuoa hata mmoja wao, bora wengne wamekaza kuna mmoja kawa mgumu kabisa, ila sasa huyu leo anaenda kuliwa mida ya saa 4, napicha nitatumiwa , nimemwambia jamaa ahakikishe anamla asimuache.

Wadada badilikeni jamani, demu yuko vizuri, sio kanishinda ila naogopa kufa wakuu, atakayehitaji no. yake nampa inbox ila mpaka jamaa amalize mission yake msije kumuaribia, atakaehitaji anicheki jioni.
 
Kwa tafsiri nyengine we ni kiuza dada zetu!.. hizo ni akili za kishamba kamongo wewe! Na huenda kakuona fala sana ndio maana anaona sawa tu kuwakubali wengine.. unaweza kuona ye ndo tatizo kumbe wewe ndo tatizo limekujaa lkn upofu wa akili huoni..

Basi isiwe tabu hebu weka namba yake nione namsaidiaje..😂
 
Kwa tafsiri nyengine we ni kiuza dada zetu!.. hizo ni akili za kishamba kamongo wewe! Na huenda kakuona fala sana ndio maana anaona sawa tu kuwakubali wengine.. unaweza kuona ye ndo tatizo kumbe wewe ndo tatizo limekujaa lkn upofu wa akili huoni..

Basi isiwe tabu hebu weka namba yake nione namsaidiaje..
Ni kweli mkuu ila hao wengine nmemkuta nao na anaendelea nao, yaan akiongea kama mtu vile, ata wewe atakukubali na mimi naweza kuendelea kupiga ila sahivi naogopa nimzuri haswa na shape lipo hatareee.
 
Wahenga embu wasaidieni vijana wenu maana ni Kama hawafahamu wajibu wao.
Mwanaume ni baba kwa mke/mpenzi wako tambueni na kufahamu mwanamke hajui anachokitaka yafaa umlinde, umfundishe na kumtunza. Sio kumfundisha kwa notes za darasani ila inapaswa ajifunze kutoka kwenye maneno na matendo yako. Misimamo na maono yako ndio itakayomshepu awe vile unavyotaka wewe. Muhimu na kubwa kuliko yote tambua kusudi la Mungu kwenye maisha yako na siku zote hakikisha unadumu katika pendo la Mungu. Wanawake ni wasaidizi wetu tuwalinde na kuwalekeza vema. Barikiwa sana kijana
 
nmeshndwa, analiwa na ma ex zake, yaani anagawa haswa, na hua namtoa sana out ila jau, , yaani round hii haniambii kitu, ngoja jamaa amle kwanza

Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona naandika maneno mengi kisha nafuta Sasa nifanye shortcut maana wewe ni mjinga.
Tafuta maana ya neno mtu alafu ukimaliza tafuta maana ya mtu mume ukimaliza tafuta mtu mzima mwenye hakima ukikosa kwenye jamii yako pm hata kwa mshana.
Jambo la mwisho pesa pia ni kipimo cha akili usipokubali kubadilika maandishi yako yanaonesha utakufa masikini
 
ela ipo japo sio sana, na mara kwa mara hua namuulza umebakza sh.ngapi na unahitaji kuongezewa sh.ngapi

Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona naandika maneno mengi kisha nafuta Sasa nifanye shortcut maana wewe ni mjinga.
Tafuta maana ya neno mtu alafu ukimaliza tafuta maana ya mtu mume ukimaliza tafuta mtu mzima mwenye hakima ukikosa kwenye jamii yako pm hata kwa mshana.
Jambo la mwisho pesa pia ni kipimo cha akili usipokubali kubadilika maandishi yako yanaonesha utakufa masikini
na haipiti siku 3 sijampa ela walau ata 20k, but ata alonifanya nmjue alnambia huyu mtu ni mambo mengi

Back
Top Bottom