Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,393
- 5,638
😂😂😂demiss kuna cross inakuja huko jiandae kuweka Mpira nyavuni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vipi Demiss utamuweza nikupigie cross
Vrou van samaria give me bit of water to drink
[emoji23][emoji23][emoji23]demiss kuna cross inakuja huko jiandae kuweka Mpira nyavuni
😂😂😂😂Hawezi kwepa
Vrou van samaria give me bit of water to drink
We hufai kuolewa unaulizia kipigo hicho huja automatically matamshi yako ndo yatasababisha kikupate
We hufai kuolewa unaulizia kipigo hicho huja automatically matamshi yako ndo yatasababisha kikupate
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukasema hivyo, siku ukiolewa epuka kumuudhi mumeo, na vilevile usiwe na majibu ya hovyo. Hapo utaepuka makofi
Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume flani alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?Usije ukasema hivyo, siku ukiolewa epuka kumuudhi mumeo, na vilevile usiwe na majibu ya hovyo. Hapo utaepuka makofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa sababu siyo hiyo, kwa uzoefu wangu wanawake waliowengi wanafurahia kukalipiwa na waume zao sasa wanaume wengine hawapendi kuongea sana, au kujibishana na wanawake.Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume wa kikuriya alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume wa kikuriya alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hebu nioneshe huyo mumewe nimtumie kijana wangu amrekebishe tabia. Sasa hilo kosa gani la kupiga mke dah!!!Sawa bro, ila kuna wanaume wanapiga tu ni kama kasumba mfano kuna mwanaume wa kikuriya alipiga mkewe kwa kosa la kuchuma mhindi akachoma, sasa kwa kosa linalofanana na hilo kweli adhabu ni kipigo?
Sent using Jamii Forums mobile app