mbona mi namzidi huyu ! kumbe nikienda unyamwezini nitauzika eeh? nitafutie mnyamwezi mmoja basi aisee nijimuvuzishe naeHapana, ila Wanyamwezi ndivyo walivyo na ndiyo maana watu wanaimba "Mzigo mzito mmpe Mnyamwezi....."
Hilo Zigo huyo Dada kwa kweli kapewa, lohhhh...... Utafikiri kaweka Silcon, hadi linaning'inia, kudadadeki 🙂
mbona mi namzidi huyu ! kumbe nikienda unyamwezini nitauzika eeh? nitafutie mnyamwezi mmoja basi aisee nijimuvuzishe nae
Mhhhh, ngoja akusikie dada yangu Kaunga na aseme kama kweli unamzidi mtoto wa Kinyamwezi.
Kuna siku dada zangu wawili walienda Sokoni Kariakoo, basi jamaa mmoja kumuona Sister (binamu) mdogo, mate yakamtoka na akatangaza ukweli wa kilichomsibu. Sister Mkubwa akamwambia kama kweli umemzimia, basi PROVE. Jamaa akachukua kilo ya Karanga na akawapa BURE na hakutaka hata kuuliza anwani wala simu..... Yeye aliridhika kula kwa MACHO tu.
Na kweli huyo dada yangu (binamu) alikuwa amejaliwa Mtoto wa Kinyamwezi na Mzigo wake. RIP binamu yangu (True story).

Eeeh mdugu wane,pale Sikonge madukani kuna mtoto wa wa dadaangu chotara wa kaarabu na kinyamwezi we acha tu mungu anajua kuumba,anaolewa mwezi wa kumi tukutana pale safari hii bwana
naamini kuna uchotara fulani kwa Smile, hilo figure lake lazima kuna kaunyamwezi fulani!
Ila kaka unanijazia PM humu ujue.