bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,841
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo.
Sifa:
1. Lazima uwe mrembo
2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na kuniulizauliza hata vitu virahisi
Lini? This weekend.
miss chagga, lara 1 na Evelyn Salt, hao hapana.
Mmmmh mi nimerithi sura ya baba shepu ya mjomba na mjini nimekuja novemba mwaka jana wacha nipite vilee
shikamoo khantwe

nipo hapa lete dau hilo...
huyp jamaa atakupa "mchongoko" sio mchongo!!!!!!!!!!!!!!!nipo mchongo gani
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo.
Sifa:
1. Lazima uwe mrembo
2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na kuniulizauliza hata vitu virahisi
Lini? This weekend.
miss chagga, lara 1 na Evelyn Salt, hao hapana.
Marhaba hujambo dogo
Mmmmh mi nimerithi sura ya baba shepu ya mjomba na mjini nimekuja novemba mwaka jana wacha nipite vilee
Mie nimezaliwa mjini Dar na u super star pia nnao lakini je una Hela wewe?
umewapa nini mpaka umewaua hao majamaa? naskia tgo
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo.
Sifa:
1. Lazima uwe mrembo.
2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na kuniulizauliza hata vitu virahisi
Lini? This weekend.miss chagga, lara 1 na Evelyn Salt, hao hapana.