Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
jiandae kuisaidia polisi
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo.
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo.
kwanza we KE or ME samahan lkn
nipo mchongo gani
Mwanaume.
Natafuta mdada "smart"
tupeane mchongo.
Sifa:
1. Lazima uwe mrembo
2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na
kuniulizauliza hata vitu virahisi
Lini? This weekend.
miss chagga, lara 1
na Evelyn Salt, hao hapana.