Mkuu milioni ni pesa nyingi sana kwa awamu hiiDah, inasikitisha. Sasa wale tunaochukulia hapo CRDB magengeni si watakuwa wanatufuatilia? Pesa yenyewe ni <1million.
Twafa mwaka huu.
Nimesema, chini ya milioni. Inaweza kuwa hata laki moja. Kwa kweli siku hizi hata kuingia kwenye atm mtu unakuwa na wasiwasi.Mkuu milioni ni pesa nyingi sana kwa awamu hii
shaba nje nje, na hivi tabata leo weekend kina happen nahisi watakuwa hapa the great park wanajipongezaNimesema, chini ya milioni. Inaweza kuwa hata laki moja. Kwa kweli siku hizi hata kuingia kwenye atm mtu unakuwa na wasiwasi.
Wizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.
Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela
Hao majambazi wajinga sanaDada yupo hai..ila yupo muhimbili anatakiwa kutolewa risasi..maana amepigwa risasi Kama tatu.
alafu ukifika nyumbani unakuta ni dada yako kapigwa risasi......rejea maneno yako apo juu, unaandika hayo maneno kwasababu haikuhusuBastola imefanya kazi iliyotengenezewa kuifanya,
Wala msisikitike cuz hizo zimetengenezwa kwaajili hiyo, iwe aliyeuliwa ni mwema au ni mualifu as long as sote ni binadamu basi Hakuna tofauti.