Mdada anayejitambua anahitajika

Mdada anayejitambua anahitajika

Love inakuja automatic mr...ukiwa na ukaribu na mienende yenye kuvutia. Utapata unacho stahili..ila kuandika mitandaon.ina show how loser you are..sory!!!
 
Habari wana jukwaa,natafuta mdada (lady) kwa ajili ya urafiki, upenzi,uchumba,ndoa (kama mimi na yeye tutapendana kweli).
Awe na umri kuanzia miaka 28 mpaka 35.mambo mengine tutafahamishana kwa PM kwa atakayekuwa serious.

mimi hapa ndipo ninapochokaga inamaana sifa za mke bora niumritu?
 
Aisee, tangu January hadi leo? Nakushauri jumuika na vijana wenzio, kama unausafiri private shusha vioo.
Ma single ladies wa jf msaidieni kijana hata kwa networking tu.
 
Mkuu kwann hutaki kumwaga sifa unazotaka nyingine..kufanya searching yako kuwa rahisi.na tuone tunamatch...fursa hiyo,ohoooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom