Mdada anakuuliza, "Mambo? Unaenda wapi?"

Hawa wengine waameletwa na wanasiasa fulani ili kuipaka matope JF kwamba ni mtandao wa watu wajinga wajinga tu, na hili jambo watakuwa waameleta jamaa zetu ambao wanakamati au chombo cha kuvumisha uzushi au kukanusa ukweli ambao haya ndio maisha yao hawako hivi na wala hawakuwahi kuwa wakweli kwamba vyombo huru vya habari habari kwa asili yao kwao ni maaadui wa umma.
 
Nitamjibu naenda kucheza pool table ili nikamatwe nikalime kilazima
 
Nilijua umeshaenda kwenye group ya wasapu kuuliza, "Hivi mwanaume akiuliza unaenda wapi anataka nini?"

BTW are you fine?

Daddy yako Kaboom yuko bize siku hizi, nadhani msimu wa sikukuu biashara itakuwa imechanganya
Hahaha nimeshauliza zamaniiii. Namshukuru Mungu Niko poa kabisa. Yani hapa ndo natype cha mwisho, tupo dukani hapa na kuna wateja mob, nawapimisha. Vifuniko vinatokajeee
 
Hahaha nimeshauliza zamaniiii. Namshukuru Mungu Niko poa kabisa. Yani hapa ndo natype cha mwisho, tupo dukani hapa na kuna wateja mob, nawapimisha. Vifuniko vinatokajeee

Kama upo wewe kupimisha naweza kumtuma mama watoto aje fasta kucheki,

Halafu niulizie kwa Kaboom kuhusu mzigo niliomtuma kwa rubii mbona hajafikisha?
 
Back
Top Bottom