Mdaada Fray Luis Amigo Secondary School Kigamboni

Loeli

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
997
Reaction score
763
Wakuu habari za majukumu,
Ninaomba kama kuna member mwenye namba za simu za Fray Luis Amigo Secondary School iliyoko Kigamboni. Sifahamu mahali shule ilipo zaidi ya general area ya Kigamboni pia katika mtandao hakuna contacts address zao. Ni msaada wa haraka kwa mwenye kufahamu ninaomba aweke hapa. Shukrani sana wadau.
 
Wajameni nijibuni tafadhali kama mnafahamu kwa wale wenye watoto wanaosoma hapo au wanaotokea kigamboni members hapa. Very much in need. Ni shule ya masista wa Capuccin.
 
mkuu naifahamu hiyo should ziko kigamboni tungi kwa masista au tungi soko maziwa. namba ya mwalimu ninayo ila nashindwa kukupa kwa sababu maelezo yako hayajitoshelezi mkuu.
 
Mkuu ukiona mtu anatafuta au kuulizia shule jua ana uhitaji. Ninataka kuulizia nafasi ya kuingia pale. Hivyo fanya uungwana ni pm namba ya Mwl.
 
mkuu naifahamu hiyo should ziko kigamboni tungi kwa masista au tungi soko maziwa. namba ya mwalimu ninayo ila nashindwa kukupa kwa sababu maelezo yako hayajitoshelezi mkuu.
Pia kama hutajali nipe maandari yake kupitia pm. Shukrani.
 
Wakuu bado ninahitaji msaada wenu kuhusu jii shule. Namhamisha mtoto toka Dodoma kuja DSM. Nimepitia.mtandaoni ni shule yenye ufaulu mzuri nataka nijaribu nafasi.
 
Wenye yaarifa msaidieni Bundimkubwa kwa maelezo yake inaelekea anahitaji hii shule.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom