MD St Joseph ikoje!

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
Jamani napenda kujua MD pale St Joseph iko vipi? maticha wapo?

Vipi maabara za maana wanazo? Na ina muda gani hiyo coz toka imefunguliwa!
 
hebu achana na hicho chuo utajilaumu
Ajilaumu kwa sababu gani mkuu?.Ndalichako kafunga st Joseph college ya engineering ameshindwaje kufunga college ya health?.

Tatizo la st Joseph ni ada kubwa takribani Million tano la laki saba na hapo bado michango mingine,kiasi kuwa ukichanganya na michango ni million sita kabisa.

Watanzania wengi wanaponda vyuo vya private kwa vile wengi wao tupo masikini hatuna uwezo wakulipa ada katika vyuo hivyo.Akipewa mkopo asilimia miaa itamlazimu alipe tena takribani million tatu.
 
Usikikilize maneno ya watu, omba ukasome mdogo wangu ...kama kingekuwa na shida kingefungiwa kama vingine
 
Tatizo Kubwa la Hicho Chuo Ni Ada kubwa iliyopitiliza isiyolingana na Elimu Husika Kwa Mtanzania Wa Kawaida.
Milioni Tano????????
 
Jamani napenda kujua MD pale St Joseph iko vipi? maticha wapo?

Vipi maabara za maana wanazo? Na ina muda gani hiyo coz toka imefunguliwa!
Wahindi wale hawana lolote ada M6 alafu what you get does not meet the condition c ubabaishaji huo, bora Kairuki or KCMC
 
Vyuo vya aina hii bora ukasome diploma

Kesho kikinuka humu ni kufarijiana , prevention is better than cure
 
Back
Top Bottom